Baada ya kujifunza masomo mazuri pamoja na maombi na maombezi katika jumapili tatu .Awamu hii Mtumishi wa Mungu Sunbella Kyando ataenda kumimina mafuta juu yako. kumbuka ni tarehe 7/09/2025 muda ni kuanzia saa 3 asubuhi
DUNAMIS (NGUVU ZA MUNGU), mkutano wa kimataifa unaoandaliwa na ROC, ukiwa na Apostle Michael Orokpo kutoka Nigeria, pamoja na Pastor Sunbella Kyando na George Mukabwa kutoka Tanzania. ni tarehe 22-24/10/2025 saa 11 jioni.
Ni wakati mwingine tena wa vijana kukutana pamoja kufurahi, kubadilishana mawazo, kuelimishana na mambo mengine mengi mazuri. kiingilio ni Tsh.20000 tu ni tarehe 13/09/2025 saa 11 jioni.
karibu
hello welcome to ROC Church